Dully Sykes asimulia baba yake alivyonyimwa viza kisa mavazi.

Written by on January 31, 2018

Baba ya Muziki #PrinceDullySykes amesimulia kwamba mwaka 2003 alinyimwa Viza ya kwenda Uingereza kwa sababu alivaa kistaraabu.

Akiongea na #255 ya #XXL Dully anasema alichomekea vizuri, akachana nywele na kuwa na muonekano nadhifu kiasi kwamba maafisa waliopaswa kumpa viza walisema yeye sio msanii. Alipoenda akiwa ‘amepiga mlege’ , ametupia hereni na mabling mengine kama kawaida yake alipata viza.


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Continue reading

Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background