Wastara: Nina imani mateso yangu yatafika mwisho.

Written by on February 7, 2018

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ‘Wastara’ yuko nchini India kwa matibabu ya mguu wake ameonesha imani ya kurudi kwenye afya njema na kuirudisha furaha katika nyuso za watoto wake katika siku za usoni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika hivi:

‘’Naaamin kwa uwezo wa Allah kila tabu na mateso yatafika mwisho inshaAllah

Watoto wangu wanatamani kuona furaha yangu ya ukweli na sio ya kuigiza inshaAllah italudi soon’’


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background