Mbunge ‘Professor Jay’ alivyokataliwa kumuona Sugu gerezani.

Written by on February 8, 2018

Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Joseph Haule (Professor Jay) akiwa ameambatana na Mkewe Grace Haule amefika Mbeya juzi na juna tarehe 07 Februari 2018 alikwenda katika Gereza la Ruanda Mbeya kwa ajili ya kuwaona Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu” na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga ambapo amekataliwa kuwaona na uongozi wa Gereza hilo, Viongozi hao Sugu na Masonga wanaoshikiliwa kwa kunyimwa dhamana kesho Alhamisi tarehe 08 Februari 2018 watafikishwa mahakamani kwa ajili ya muendelezo wa kesi yao ambayo wanatuhumiwa kwa kutoa maneno ya fedheha.

 

Habari – CHADEMA

Kanda ya Nyasa

O7 Februari 2018

 


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background