Viingilio vya shoo kubwa Hadharani, #NandyAslayNaMarafiki.

Written by on February 13, 2018

 

Viingilio vya ile show kubwa ya kwanza kwa mwaka 2018 vimewekwa wazi.

Tiketi zinapatikana buku 15 kawaida na VIP elfu 50: wewe na baby wako mtakaa viti vipi?

Upande wa #VIP tayari watu wanazuia meza kwa kupiga #0718623759. Wahi.

#MapenziMubashara18


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Continue reading

Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background