Dayna Anasa Ujauzito?

Written by on February 21, 2018

Siku saba zilizopita kupitia ukurasa wake wa Instagram @daynanyange alipost picha ikimwonyesha kuwa ana ujauzito kama wa miezi sita au saba..

Leo hii tumekutana uso kwa uso na Dayna tumemuuliza kuhusu ujauzito wake, alijibu kwa ufupi tu ‘’Siwezi kusema kama nina ujauzito, nahisi nimeshiba tu’’

Je? Anaficha? Dyna atakuwepo kesho kwenye #XXL, amesema mashabiki wake wataujua ukweli…


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background