Kufeli Shule Si Kufeli Maisha, Unaweza kuamini kuwa Dayna hajasoma shule?

Written by on February 23, 2018

Kufeli Shule Si Kufeli Maisha, Unaweza kuamini kuwa Dayna hajasoma shule?

Ni ngumu kuamini lakini kwenye #XXL amefunguka kuwa hakubahatika kupata elimu ya sekondari katika maisha yake, elimu pekee aliyoipata ni ya shule ya msingi.

‘’Kutokana na matatizo kwenye familia yangu sikubahatika kupata elimu ya sekondari” @daynanyange


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background