Author: Clouds Reporter

Chege Chigunda ni msanii pekee wa Bongo Fleva ambaye ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa na nidhamu kwenye kazi yake hasa kwenye suala la ‘Mahusiano’ amekuwa msiri mno… Siku za hivi karibuni baadhi ya wasanii wamefunga ndoa, yeye ana mpango gani? “Huwa sipendi kuambiwa nifanye kitu ambacho mwingine amekifanya, nina mpenzi ninayempenda kabisa na tunaishi pamoja, […]

Simon Simalenga, Afisa Uhusiano wa Clouds Media Group, Leo amezungumza na Power Break Fast kufikisha ujumbe kwa wadau mbalimbali wa elimu ili kujitolea kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Tengero iliyopo Kata ya Langali, wilayani Mvomero, mkoani Morogoro. “Hivi karibuni nilitembelea shule ya msingi niliyosoma, sasa hivi tunaonekana watu wa aina fulani lakini wapo watu […]

  Rais wa Shirikisho la Soka la duniani (FIFA) Gianni Infantino, akiwa nchini Tanzania kuhudhuria mkutano wa shirikisho hilo nchini. Mkutano huo ulishirikisha jumla ya mashirikisho 21 ya kandanda ambao ni wanachama wa shirikisho hilo. Rais wa shirikisho hilo la soka duniani alikutana na Waziri Mkuu wa nchi , Kassim Majaliwa pamoja na Waziri wa […]

Kufeli Shule Si Kufeli Maisha, Unaweza kuamini kuwa Dayna hajasoma shule? Ni ngumu kuamini lakini kwenye #XXL amefunguka kuwa hakubahatika kupata elimu ya sekondari katika maisha yake, elimu pekee aliyoipata ni ya shule ya msingi. ‘’Kutokana na matatizo kwenye familia yangu sikubahatika kupata elimu ya sekondari” @daynanyange

Siku saba zilizopita kupitia ukurasa wake wa Instagram @daynanyange alipost picha ikimwonyesha kuwa ana ujauzito kama wa miezi sita au saba.. Leo hii tumekutana uso kwa uso na Dayna tumemuuliza kuhusu ujauzito wake, alijibu kwa ufupi tu ‘’Siwezi kusema kama nina ujauzito, nahisi nimeshiba tu’’ Je? Anaficha? Dyna atakuwepo kesho kwenye #XXL, amesema mashabiki wake wataujua […]

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi na mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi Dr Mwigulu Nchemba amepokea tani 230 za cement kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za askari polisi pemba na tani 130 kwa ajili ya ujenzi wa hospital na mabweni ya wanafunzi katika jimbo la iramba kutoka kiwanda cha simba cement cha […]

Amri kiemba na Thomas Morris wakizungumza na wachezaji wa timu ya Itezi utd na Mnadani fc kuhusiana na masuala mbalimbali yanayowakabili wacheza mpira.  Timu hizo zinashiriki michuano ya Ndondo Super Cup 2018.

Anajibu @izzo_bizness ‘’Ukweli ni kwamba sio vijana wa Mbeya tu wanaokimbilia Dar, ni Tanzania nzima, Dar es Salaam ni Capital City vitu vingi vinapatikana hapa, mfano kwa upande wangu, media nyingi ziko hapa na zinasikika karibu nchi nzima, ni tofauti utoke Mbeya halafu uje Dar kufanya interview then urudi inakuwa ni gharama sana, hata wafanyabiashara […]

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr @hamisi_kigwangalla leo ameweka wazi mikakati mbalimbali ya kutangaza Utalii wa Tanzania. Dr Hamisi amesema Wizara yake ina mipango kabambe kutangaza vivutio vyetu ili kuongeza utalii wa ndani na nje na moja ya mipango hiyo ni kutumia matamasha mbalimbali ikiwemo Fiesta. “Tunapanga kutumia matamasha mbalimbali…..tunapanga kutumia tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds” […]

“Tanzania hatushindwi kuwa na mabinti warembo wawe wanatabasamu pale airport……tuna hazina kubwa” Waziri Kigwangalla ameeleza hayo leo kwenye #Clouds360 wakati akieleza mikakati mbalimbali iliyopo ili kutangaza vivutio vyetu na kuvutia zaidi watalii wanaokuja. Haaya haaaya sasa, hebu tutajie ‘hazina’ ya mabinti warembo wa #Tanzania: yani wewe ukiambiwa taja warembo watatu ambao unaamini wakiwekwa popote tutauza […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background