0 0

Trump Awapatia Maelfu ya Wakimbizi Kutoka Syria Ruhusa Kuishi Marekani

Serikali ya Rais Donald Trump imeongeza kinga ya muda kwa karibu wakimbizi 7,000 wa Syria wanaoishi nchini Marekani wakati vita vikiendelea nchini mwao. Walikuwa wamepewa kinga ya muda dhidi ya ya kurejeshwa nyumbani chini ya mpango wa kibinadamu unaofahamika kama –Temporary Protected Status (TPS). Rais Trump amefuta mpango huo kwa nchi mbali mbali katika kipindi […]

0 0

Wachimba Mgodi 955 Waliokwama Afrika Kusini Waokolewa

Wachimba mgodi wote 955 waliokuwa wamekwama katika mgodi mmoja wa dhahabu ulioko mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini wameokolewa wakiwa salama. Walikuwa wamekwama ndani ya mgodi huo baada ya umeme kukatika Jumatano usiku. “Kila mtu ametolewa,” James Wellsted, msemaji wa kampuni inayosimamia shughuli kwenye mgodi huo ya Sibanye-Stillwater amesema. Ameeleza kuwa kuna visa kadha […]

0 0

Marekani, EU na AU wamshutumu Odinga kwa ‘kujiapisha’ Kenya

Serikali ya Marekaniimesema imesikitishwa na hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ya kujiapisha Jumanne wiki hii. Marekani pia imeishutumu serikali kwa kufungia vituo vinne vya habari nchini humo ambavyo viliadhibiwa baada ya kupeperusha moja kwa moja hafla hiyo ya upinzani. Umoja wa Afrika na Muungano wa Ulaya pia wameshutumu hatua hiyo ya […]

  Rais wa Shirikisho la Soka la duniani (FIFA) Gianni Infantino, akiwa nchini Tanzania kuhudhuria mkutano wa shirikisho hilo nchini. Mkutano huo ulishirikisha jumla ya mashirikisho 21 ya kandanda ambao ni wanachama wa shirikisho hilo. Rais wa shirikisho hilo la soka duniani alikutana na Waziri Mkuu wa nchi , Kassim Majaliwa pamoja na Waziri wa […]

Kufeli Shule Si Kufeli Maisha, Unaweza kuamini kuwa Dayna hajasoma shule? Ni ngumu kuamini lakini kwenye #XXL amefunguka kuwa hakubahatika kupata elimu ya sekondari katika maisha yake, elimu pekee aliyoipata ni ya shule ya msingi. ‘’Kutokana na matatizo kwenye familia yangu sikubahatika kupata elimu ya sekondari” @daynanyange

Siku saba zilizopita kupitia ukurasa wake wa Instagram @daynanyange alipost picha ikimwonyesha kuwa ana ujauzito kama wa miezi sita au saba.. Leo hii tumekutana uso kwa uso na Dayna tumemuuliza kuhusu ujauzito wake, alijibu kwa ufupi tu ‘’Siwezi kusema kama nina ujauzito, nahisi nimeshiba tu’’ Je? Anaficha? Dyna atakuwepo kesho kwenye #XXL, amesema mashabiki wake wataujua […]

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi na mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi Dr Mwigulu Nchemba amepokea tani 230 za cement kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za askari polisi pemba na tani 130 kwa ajili ya ujenzi wa hospital na mabweni ya wanafunzi katika jimbo la iramba kutoka kiwanda cha simba cement cha […]

Amri kiemba na Thomas Morris wakizungumza na wachezaji wa timu ya Itezi utd na Mnadani fc kuhusiana na masuala mbalimbali yanayowakabili wacheza mpira.  Timu hizo zinashiriki michuano ya Ndondo Super Cup 2018.

Anajibu @izzo_bizness ‘’Ukweli ni kwamba sio vijana wa Mbeya tu wanaokimbilia Dar, ni Tanzania nzima, Dar es Salaam ni Capital City vitu vingi vinapatikana hapa, mfano kwa upande wangu, media nyingi ziko hapa na zinasikika karibu nchi nzima, ni tofauti utoke Mbeya halafu uje Dar kufanya interview then urudi inakuwa ni gharama sana, hata wafanyabiashara […]

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr @hamisi_kigwangalla leo ameweka wazi mikakati mbalimbali ya kutangaza Utalii wa Tanzania. Dr Hamisi amesema Wizara yake ina mipango kabambe kutangaza vivutio vyetu ili kuongeza utalii wa ndani na nje na moja ya mipango hiyo ni kutumia matamasha mbalimbali ikiwemo Fiesta. “Tunapanga kutumia matamasha mbalimbali…..tunapanga kutumia tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds” […]

“Tanzania hatushindwi kuwa na mabinti warembo wawe wanatabasamu pale airport……tuna hazina kubwa” Waziri Kigwangalla ameeleza hayo leo kwenye #Clouds360 wakati akieleza mikakati mbalimbali iliyopo ili kutangaza vivutio vyetu na kuvutia zaidi watalii wanaokuja. Haaya haaaya sasa, hebu tutajie ‘hazina’ ya mabinti warembo wa #Tanzania: yani wewe ukiambiwa taja warembo watatu ambao unaamini wakiwekwa popote tutauza […]

Shadee Weriss akizungumza na wazazi wa Nandy kwenye red carpet Escape One. Walishuhudia binti yao ambaye kipaji chake ni mali ya Tanzania akipiga hatua nyingine. ASLAY kwenye red carpet Ben Pol jukwaani Escape One Abby Chams akiwa jukwaani Escape One, ni binti mdogo, amejipatia umaarufu kwa kupost video zake akiimba cover mbalimbali. Mapenzi Moto Moto […]

  Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr Mwigulu Nchemba, amemuagiza mkuu wa jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro na timu ya uchunguzi kutoka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina juu ya kupigwa risasi kwa mwanafunzi Akwilina Maftah ambaye alikuwa ni mwanachuo wa Chuo Cha Usafirishaji (NIT) yaliyotokea wilaya ya Kinondoni jijini […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background