Asubuhi ya leo kupitia #PowerBreakFast, Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Happiness Seneda ameelezea kusikitishwa kwake baada ya wilaya hiyo kuongoza kwa mimba za utotoni, ambapo ameelezea mikakati ya kupunguza tatizo hilo au kulikomesha kabisa. “Tatizo hili lipo zaidi kwa wanafunzi wa shule za msingi hasa darasa la saba, mkoa wa Pwani una halmashauri tisa kati […]

  Viingilio vya ile show kubwa ya kwanza kwa mwaka 2018 vimewekwa wazi. Tiketi zinapatikana buku 15 kawaida na VIP elfu 50: wewe na baby wako mtakaa viti vipi? Upande wa #VIP tayari watu wanazuia meza kwa kupiga #0718623759. Wahi. #MapenziMubashara18

  Marafiki zake @officialNandy na @aslayisihaka #TheMafik wakitoa kionjo cha ngoma yao ya #Passenger utamu wa mchuzi utiwe chumvi tarehe 17/02 #EscapeOne mchuzi ndiyo utatiwa chumvi, njoo na umpendae na upate raha ya muziki. #MapenziMubashara18

Kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua ya kumtaka Rais Zuma ajiuzulu inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala nchini humo (ANC). Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe […]

Kumekuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu Shetta na Mama Qayla kuachana na kutengana, baada ya Ukimya mrefu kumbe watu walishasameheana na Ndoa ilishafungwa kimyakimya. Leotena imefanya Interview na wapendanao hao na kufukunyua vitu….  

Mjasiriamali wa Addis Ababa,nchini Ethiopia, Guttama Gutta amenunua ndege mbovu ambayo haitumiki kubeba abiria aina ya Boeing 737 na kuigeuza kuwa mgahawa. Mwekezaji huyo alitumia dola mill. ($ 73,000,000) kununua ndege hiyo, kurekebisha na kuipamba , alitumia miaka 2 kufanya marekebisho ya  “hoteli hiyo mpya ya ndege” iliyopo kwenye mji wa Burayu, kilomita 15km magharibi […]

Msanii Dogo Janja asubuhi ya leo amefanya mahojiano na kipindi cha 360 cha Clouds Tv na kusema kuwa hataki kupanda Mlima Kilimanjaro, wala hataki kwenda Serengeti. “Sitaki kupanda Mlima Kilimanjaro wala sitaki kwenda Serengeti kwa sababu nina KITU cha kitalii NDANI” Janjaro. Pia Dogo Janja amesema kuwa alivyokuwa mdogo alikuwa anakata vipande vya magazeti anabandika […]

Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Joseph Haule (Professor Jay) akiwa ameambatana na Mkewe Grace Haule amefika Mbeya juzi na juna tarehe 07 Februari 2018 alikwenda katika Gereza la Ruanda Mbeya kwa ajili ya kuwaona Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu” na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga ambapo amekataliwa kuwaona […]

“Mimi nilipata tatizo la macho wakati nipo kidato cha tano mwaka 1995 baada ya kupata ajali ya gari na kichwa changu kugonga kioo cha mbele kutokana na kutovaa mkanda na kupelekea vioo kuingia kwenye macho yangu, Mume wangu nilikutana nae wakati nipo kidato cha nne alikuja kwenye mahafali yetu sababu yeye ni dereva wa gari […]

Waziri wa mambo ya ndani nchini, Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru mkoani Arusha. Waziri wa mambo ya ndani nchini, Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa katikati […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background