Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ‘Wastara’ yuko nchini India kwa matibabu ya mguu wake ameonesha imani ya kurudi kwenye afya njema na kuirudisha furaha katika nyuso za watoto wake katika siku za usoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika hivi: ‘’Naaamin kwa uwezo wa Allah kila tabu na mateso yatafika mwisho inshaAllah Watoto […]

http://cloudsfm.com/wp-content/uploads/2018/02/VID-20180207-WA0005.mp4

Mapema leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA). Dkt. Willbrod Slaa alifanya mahojiano na kipindi hicho na kuongea mambo mbalimbali ikiwemo kukanusha kuwa hakuwahi kusema anaacha kufanya siasa. Dkt. Slaa amesema kuwa kama kuna mtu alikuwepo kwenye mkutano wake pale Serena hotel, […]

Nyota nchini Marekani Kylie Jenner amethibitisha Jumapili iliyopita kuwa amejifungua mtoto wa kike. Miezi kadhaa kumekuwa na uvumi kwamba Kylie mwenye umri wa miaka 20 ni mjamzito, lakini alinyamaza kimya kuhusu ujauzito wake muda wote huo. Jenner alitangaza katika mtandao wake wa Instagram Jumapili iliyopita kwamba alijifungua mnamo February mosi. Aliomba radhi kwa ukimya wake […]

Jana kwenye kipindi cha #PowerBreakFast ilisikika stori ya mtoto Mussa (Sio jina lake halisi} ni mwanafunzi wa darasa la nne katika shule moja hapa nchini, amekuwa akionekana maeneo ya Kariakoo na Posta akiombaomba, wazazi wake wote wamefariki anaishi na bibi yake ambaye hana uwezo wa kumuhudumia, mtoto huyu ana uwezo mkubwa darasani lakini inamlazimu aingie mitaani kuomba […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background