https://www.youtube.com/watch?v=2IyWwn9MmHQ&t=59s
https://www.youtube.com/watch?v=QDT4cI-IMTE

 

https://youtu.be/TTl7-_rJHgE

Serikali ya Rais Donald Trump imeongeza kinga ya muda kwa karibu wakimbizi 7,000 wa Syria wanaoishi nchini Marekani wakati vita vikiendelea nchini mwao. Walikuwa wamepewa kinga ya muda dhidi ya ya kurejeshwa nyumbani chini ya mpango wa kibinadamu unaofahamika kama –Temporary Protected Status (TPS). Rais Trump amefuta mpango huo kwa nchi mbali mbali katika kipindi […]

Maafisa wa serikali ya Urusi wametahadharisha kwamba huwenda nzige wakashambulia viwanja vya mpira wa miguu nchini humo na kuzua kashfa kubwa wakati wa Kombe la Dunia. Pyotr Chekmarev amesema takriban hektari milioni moja za ardhi kusini mwa Urusi zimevamiwa na wadudu hao. Volgograd, mji ambao England watachezea dhidi ya Tunisia mnamo 18 Juni, ni moja […]

Wachimba mgodi wote 955 waliokuwa wamekwama katika mgodi mmoja wa dhahabu ulioko mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini wameokolewa wakiwa salama. Walikuwa wamekwama ndani ya mgodi huo baada ya umeme kukatika Jumatano usiku. “Kila mtu ametolewa,” James Wellsted, msemaji wa kampuni inayosimamia shughuli kwenye mgodi huo ya Sibanye-Stillwater amesema. Ameeleza kuwa kuna visa kadha […]

Serikali ya Marekaniimesema imesikitishwa na hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ya kujiapisha Jumanne wiki hii. Marekani pia imeishutumu serikali kwa kufungia vituo vinne vya habari nchini humo ambavyo viliadhibiwa baada ya kupeperusha moja kwa moja hafla hiyo ya upinzani. Umoja wa Afrika na Muungano wa Ulaya pia wameshutumu hatua hiyo ya […]

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Kingunge Ngombale-Mwiru, 87, amefariki dunia. Mzee Kingunge amekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwanasiasa huyo mkongwe alilazwa hospitalini mwanzoni mwa Januari akiuguza majeraha ya kushambuliwa na kung’atwa na mbwa nyumbani kwake 22 Desemba mwaka jana na akafanyiwa upasuaji. Rais John Magufuli amesema apokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background