The Daily Mail imeripoti kwamba Tony Henry alisema wachezaji wa Afrika husababishia matatizo wakati wasipo kuwa na timu. Katika taarifa hiyo, West Ham wamesema kamwe hawatoweza kuvumilia aina yoyote ya ubaguzi na walifanya uamuzi haraka kwa sababu ya hali mbaya ya madai hayo. Chama cha Soka yaani FA kimesema kitashughulikia jambo hilo rasmi. West Ham […]

Nyangumi Muuaji anayeweza kutamka maneno kama “hello” anadhaniwa kuwa wa kwanza wa aina yake kuigiza kauli ya binadamu. Nyangumi huyo wa jinsia ya kike alijifunza”kuzungumza” baadhi ya maneno ya binadamu kwa kunakili mwalimu wake katika eneo la hifadhi wa nyama wa baharini nchini Ufaransa. Matamshi anayoweza kuyatamka mnyama huyo ni pamoja na jina “Amy” na […]

Kamati ya nidhamu ya Ligi ya Kuu nchini Ufaransa hapo jana siku ya Alhamisi imetoa adhabu ya kifungo cha miezi sita kwa mwamuzi, Tony Chapron kufuatia kumpiga teke na kumpatia kadi nyekundu beki, Diego Carlos wakati wa mchezo dhidi ya Paris Saint-Germain. Chapron alimpiga teke beki huyo kufuatia kitendo chake cha kumgonga mwamuzi huyo na kupelekea […]

Rapper kutoka Toronto, Drake ametinga katika chati za muziki za Billboard Hot 100 kupitia ngoma yake mpya ya ‘God Plan. Ngoma hiyo ya ‘ God Plan’ ilitoka mwezi Januari mwaka huu katika Mixtape yake ya ‘Scary Hours’. Wakati ‘God Plan’ ikishika namba moja ngoma ya ‘Perfect’ kutoka kwa Ed Sheeran na Beyonce ikiwa namba mbili […]

Shilole amefunguka kuwa dada yake mkubwa hakutaka yeye aolewe na mume wake wa sasa Uchebe ndio maana hawakuwepo kwenye sherehe ya harusi yake. ‘’Unajua nikijiangalia najiona mkubwa na nina maamuzi yangu, kwahiyo nisingependa kuendelea kuzini na Uchebe ndio maana tukaamua kufunga ndoa,nilimwambia dada yangu mkubwa kuhusu kufunga ndoa alikubali lakini hakuridhia,labda alimuona Uchebe hana hela, […]

Kwenye kipindi cha #PowerBreakFast walizindua ngoma mpya ya “Subalkheri Mpenzi” na vitu vingi walifunguka kuhusu collabo na plan zao…….tazama hapa.      

Rais Dkt John Magufuli ameeleza kufurahishwa sana na utendaji wa Kamishna wa Uhamiaji Dkt Anna Peter Makakala. Rais amemsifu#MalkiaWaNguvu huyo kwa kupunguza madhaifu mengi yaliyokuwa yakionekana katika Idara yake. Kama sehemu ya pongezi hizo na kuridhishwa na kazi ya Dkt Makakala na watendaji wengine wa Idara yake, Rais amesema atatoa bilioni 10 ili Idara ya […]

Baba ya Muziki #PrinceDullySykes amesimulia kwamba mwaka 2003 alinyimwa Viza ya kwenda Uingereza kwa sababu alivaa kistaraabu. Akiongea na #255 ya #XXL Dully anasema alichomekea vizuri, akachana nywele na kuwa na muonekano nadhifu kiasi kwamba maafisa waliopaswa kumpa viza walisema yeye sio msanii. Alipoenda akiwa ‘amepiga mlege’ , ametupia hereni na mabling mengine kama kawaida […]

Mkali wa Muziki wa Taarab, Prince Amigo ambaye aliwahi kuwika kwenye bendi ya Jahazi amefunguka kuwa amekoma kuoa wake wengi baada ya kukumbana na changamoto kubwa kwenye ndoa. Amigo amesema kuwa alioa wake wawili akiwa na umri mdogo, hivyo kushindwa kustahimiri changamoto za wake zake ambao walikuwa wakigombana mara kwa mara, wake hao ni Habiba […]

January 27, 2018

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background