Highlights

Amri kiemba na Thomas Morris wakizungumza na wachezaji wa timu ya Itezi utd na Mnadani fc kuhusiana na masuala mbalimbali yanayowakabili wacheza mpira.  Timu hizo zinashiriki michuano ya Ndondo Super Cup 2018.

Msanii Dogo Janja asubuhi ya leo amefanya mahojiano na kipindi cha 360 cha Clouds Tv na kusema kuwa hataki kupanda Mlima Kilimanjaro, wala hataki kwenda Serengeti. “Sitaki kupanda Mlima Kilimanjaro wala sitaki kwenda Serengeti kwa sababu nina KITU cha kitalii NDANI” Janjaro. Pia Dogo Janja amesema kuwa alivyokuwa mdogo alikuwa anakata vipande vya magazeti anabandika […]

Nyota nchini Marekani Kylie Jenner amethibitisha Jumapili iliyopita kuwa amejifungua mtoto wa kike. Miezi kadhaa kumekuwa na uvumi kwamba Kylie mwenye umri wa miaka 20 ni mjamzito, lakini alinyamaza kimya kuhusu ujauzito wake muda wote huo. Jenner alitangaza katika mtandao wake wa Instagram Jumapili iliyopita kwamba alijifungua mnamo February mosi. Aliomba radhi kwa ukimya wake […]

The Daily Mail imeripoti kwamba Tony Henry alisema wachezaji wa Afrika husababishia matatizo wakati wasipo kuwa na timu. Katika taarifa hiyo, West Ham wamesema kamwe hawatoweza kuvumilia aina yoyote ya ubaguzi na walifanya uamuzi haraka kwa sababu ya hali mbaya ya madai hayo. Chama cha Soka yaani FA kimesema kitashughulikia jambo hilo rasmi. West Ham […]

Kamati ya nidhamu ya Ligi ya Kuu nchini Ufaransa hapo jana siku ya Alhamisi imetoa adhabu ya kifungo cha miezi sita kwa mwamuzi, Tony Chapron kufuatia kumpiga teke na kumpatia kadi nyekundu beki, Diego Carlos wakati wa mchezo dhidi ya Paris Saint-Germain. Chapron alimpiga teke beki huyo kufuatia kitendo chake cha kumgonga mwamuzi huyo na kupelekea […]

Like any music, jazz has its revolutions; its sudden incidents in infrastructure; its disruptive presences of unprecedented sound. Mostly it’s slower than that, though, with years and generations of accretions before it seems to call for new vocabulary. That’s one way to look at Winter Rockfest, whose latest incarnation occupied a dozen or so venues […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background