LEO TENA

  Viingilio vya ile show kubwa ya kwanza kwa mwaka 2018 vimewekwa wazi. Tiketi zinapatikana buku 15 kawaida na VIP elfu 50: wewe na baby wako mtakaa viti vipi? Upande wa #VIP tayari watu wanazuia meza kwa kupiga #0718623759. Wahi. #MapenziMubashara18

Kumekuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu Shetta na Mama Qayla kuachana na kutengana, baada ya Ukimya mrefu kumbe watu walishasameheana na Ndoa ilishafungwa kimyakimya. Leotena imefanya Interview na wapendanao hao na kufukunyua vitu….  

“Mimi nilipata tatizo la macho wakati nipo kidato cha tano mwaka 1995 baada ya kupata ajali ya gari na kichwa changu kugonga kioo cha mbele kutokana na kutovaa mkanda na kupelekea vioo kuingia kwenye macho yangu, Mume wangu nilikutana nae wakati nipo kidato cha nne alikuja kwenye mahafali yetu sababu yeye ni dereva wa gari […]

 

https://youtu.be/TTl7-_rJHgE

Shilole amefunguka kuwa dada yake mkubwa hakutaka yeye aolewe na mume wake wa sasa Uchebe ndio maana hawakuwepo kwenye sherehe ya harusi yake. ‘’Unajua nikijiangalia najiona mkubwa na nina maamuzi yangu, kwahiyo nisingependa kuendelea kuzini na Uchebe ndio maana tukaamua kufunga ndoa,nilimwambia dada yangu mkubwa kuhusu kufunga ndoa alikubali lakini hakuridhia,labda alimuona Uchebe hana hela, […]

Mkali wa Muziki wa Taarab, Prince Amigo ambaye aliwahi kuwika kwenye bendi ya Jahazi amefunguka kuwa amekoma kuoa wake wengi baada ya kukumbana na changamoto kubwa kwenye ndoa. Amigo amesema kuwa alioa wake wawili akiwa na umri mdogo, hivyo kushindwa kustahimiri changamoto za wake zake ambao walikuwa wakigombana mara kwa mara, wake hao ni Habiba […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background