Uncategorized

Anajibu @izzo_bizness ‘’Ukweli ni kwamba sio vijana wa Mbeya tu wanaokimbilia Dar, ni Tanzania nzima, Dar es Salaam ni Capital City vitu vingi vinapatikana hapa, mfano kwa upande wangu, media nyingi ziko hapa na zinasikika karibu nchi nzima, ni tofauti utoke Mbeya halafu uje Dar kufanya interview then urudi inakuwa ni gharama sana, hata wafanyabiashara […]

  Marafiki zake @officialNandy na @aslayisihaka #TheMafik wakitoa kionjo cha ngoma yao ya #Passenger utamu wa mchuzi utiwe chumvi tarehe 17/02 #EscapeOne mchuzi ndiyo utatiwa chumvi, njoo na umpendae na upate raha ya muziki. #MapenziMubashara18

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ‘Wastara’ yuko nchini India kwa matibabu ya mguu wake ameonesha imani ya kurudi kwenye afya njema na kuirudisha furaha katika nyuso za watoto wake katika siku za usoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika hivi: ‘’Naaamin kwa uwezo wa Allah kila tabu na mateso yatafika mwisho inshaAllah Watoto […]

Maafisa wa serikali ya Urusi wametahadharisha kwamba huwenda nzige wakashambulia viwanja vya mpira wa miguu nchini humo na kuzua kashfa kubwa wakati wa Kombe la Dunia. Pyotr Chekmarev amesema takriban hektari milioni moja za ardhi kusini mwa Urusi zimevamiwa na wadudu hao. Volgograd, mji ambao England watachezea dhidi ya Tunisia mnamo 18 Juni, ni moja […]

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Kingunge Ngombale-Mwiru, 87, amefariki dunia. Mzee Kingunge amekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwanasiasa huyo mkongwe alilazwa hospitalini mwanzoni mwa Januari akiuguza majeraha ya kushambuliwa na kung’atwa na mbwa nyumbani kwake 22 Desemba mwaka jana na akafanyiwa upasuaji. Rais John Magufuli amesema apokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha […]

Rais Dkt John Magufuli ameeleza kufurahishwa sana na utendaji wa Kamishna wa Uhamiaji Dkt Anna Peter Makakala. Rais amemsifu#MalkiaWaNguvu huyo kwa kupunguza madhaifu mengi yaliyokuwa yakionekana katika Idara yake. Kama sehemu ya pongezi hizo na kuridhishwa na kazi ya Dkt Makakala na watendaji wengine wa Idara yake, Rais amesema atatoa bilioni 10 ili Idara ya […]

January 27, 2018

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background