Video stories

“Tunaomba serikali ituangalie kwa upande mwingine wa kufanyia kazi zetu, kwa sababu tunatamani tufanye kazi zetu kwa uhuru kama airport, Vituo vya Polisi…”@halimayahya stori zaidi ingia kwenye akaunti yetu ya YouTube¬†#CloudsMedia #MapenziMubashara18

  Marafiki zake @officialNandy na @aslayisihaka #TheMafik wakitoa kionjo cha ngoma yao ya #Passenger utamu wa mchuzi utiwe chumvi tarehe 17/02 #EscapeOne mchuzi ndiyo utatiwa chumvi, njoo na umpendae na upate raha ya muziki. #MapenziMubashara18

Kumekuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu Shetta na Mama Qayla kuachana na kutengana, baada ya Ukimya mrefu kumbe watu walishasameheana na Ndoa ilishafungwa kimyakimya. Leotena imefanya Interview na wapendanao hao na kufukunyua vitu….  

http://cloudsfm.com/wp-content/uploads/2018/02/VID-20180207-WA0005.mp4
https://www.youtube.com/watch?v=2IyWwn9MmHQ&t=59s
https://www.youtube.com/watch?v=QDT4cI-IMTE
https://youtu.be/TTl7-_rJHgE

Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background