World

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejiuzulu baada ya shinikizo nyingi kutoka kwa chama chake. Kapitia hotuba yake iliyopeperushwa kwa njia ya televisheni alisema anajiuzulu mara moja lakini akaongeza kuwa hakubaliani na uamuzi wa chama cha ANC. Chama cha ANC kilikuwa kimemuambia aondoke madarakani au akabiliwe na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni Zuma […]

Kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua ya kumtaka Rais Zuma ajiuzulu inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala nchini humo (ANC). Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe […]

Mjasiriamali wa Addis Ababa,nchini Ethiopia, Guttama Gutta amenunua ndege mbovu ambayo haitumiki kubeba abiria aina ya Boeing 737 na kuigeuza kuwa mgahawa. Mwekezaji huyo alitumia dola mill. ($ 73,000,000) kununua ndege hiyo, kurekebisha na kuipamba , alitumia miaka 2 kufanya marekebisho ya  “hoteli hiyo mpya ya ndege” iliyopo kwenye mji wa Burayu, kilomita 15km magharibi […]

Serikali ya Rais Donald Trump imeongeza kinga ya muda kwa karibu wakimbizi 7,000 wa Syria wanaoishi nchini Marekani wakati vita vikiendelea nchini mwao. Walikuwa wamepewa kinga ya muda dhidi ya ya kurejeshwa nyumbani chini ya mpango wa kibinadamu unaofahamika kama –Temporary Protected Status (TPS). Rais Trump amefuta mpango huo kwa nchi mbali mbali katika kipindi […]

Wachimba mgodi wote 955 waliokuwa wamekwama katika mgodi mmoja wa dhahabu ulioko mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini wameokolewa wakiwa salama. Walikuwa wamekwama ndani ya mgodi huo baada ya umeme kukatika Jumatano usiku. “Kila mtu ametolewa,” James Wellsted, msemaji wa kampuni inayosimamia shughuli kwenye mgodi huo ya Sibanye-Stillwater amesema. Ameeleza kuwa kuna visa kadha […]

Serikali ya Marekaniimesema imesikitishwa na hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ya kujiapisha Jumanne wiki hii. Marekani pia imeishutumu serikali kwa kufungia vituo vinne vya habari nchini humo ambavyo viliadhibiwa baada ya kupeperusha moja kwa moja hafla hiyo ya upinzani. Umoja wa Afrika na Muungano wa Ulaya pia wameshutumu hatua hiyo ya […]

Nyangumi Muuaji anayeweza kutamka maneno kama “hello” anadhaniwa kuwa wa kwanza wa aina yake kuigiza kauli ya binadamu. Nyangumi huyo wa jinsia ya kike alijifunza”kuzungumza” baadhi ya maneno ya binadamu kwa kunakili mwalimu wake katika eneo la hifadhi wa nyama wa baharini nchini Ufaransa. Matamshi anayoweza kuyatamka mnyama huyo ni pamoja na jina “Amy” na […]

Chances are, you are already ruining your potential to succeed in the music industry because you believe in one or more music career myths. How do I know? I am sent e-mail messages on a constant basis by tons of musicians (all seeking the answers to the WRONG questions). These are questions that may seem […]

You are about to learn the five critical elements that have fueled the success of all great musicians’ careers. Until you possess these key elements for yourself, it will be nearly impossible for you to reach your musical dreams and build a successful career in the music business. Read below to discover these five key […]

The Subways were kind enough to chronicle their North American tour for us, and we’ll be running their tour diary in several installments this week. Billy Lunn will be our guide, and as he writes, “Because so much usually ends up happening on our tours, we thought that this time round, whilst we’re on our […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background