XXL

Kufeli Shule Si Kufeli Maisha, Unaweza kuamini kuwa Dayna hajasoma shule? Ni ngumu kuamini lakini kwenye #XXL amefunguka kuwa hakubahatika kupata elimu ya sekondari katika maisha yake, elimu pekee aliyoipata ni ya shule ya msingi. ‘’Kutokana na matatizo kwenye familia yangu sikubahatika kupata elimu ya sekondari” @daynanyange

Siku saba zilizopita kupitia ukurasa wake wa Instagram @daynanyange alipost picha ikimwonyesha kuwa ana ujauzito kama wa miezi sita au saba.. Leo hii tumekutana uso kwa uso na Dayna tumemuuliza kuhusu ujauzito wake, alijibu kwa ufupi tu ‘’Siwezi kusema kama nina ujauzito, nahisi nimeshiba tu’’ Je? Anaficha? Dyna atakuwepo kesho kwenye #XXL, amesema mashabiki wake wataujua […]

https://www.youtube.com/watch?v=2IyWwn9MmHQ&t=59s
https://www.youtube.com/watch?v=QDT4cI-IMTE

Rapper kutoka Toronto, Drake ametinga katika chati za muziki za Billboard Hot 100 kupitia ngoma yake mpya ya ‘God Plan. Ngoma hiyo ya ‘ God Plan’ ilitoka mwezi Januari mwaka huu katika Mixtape yake ya ‘Scary Hours’. Wakati ‘God Plan’ ikishika namba moja ngoma ya ‘Perfect’ kutoka kwa Ed Sheeran na Beyonce ikiwa namba mbili […]

Baba ya Muziki #PrinceDullySykes amesimulia kwamba mwaka 2003 alinyimwa Viza ya kwenda Uingereza kwa sababu alivaa kistaraabu. Akiongea na #255 ya #XXL Dully anasema alichomekea vizuri, akachana nywele na kuwa na muonekano nadhifu kiasi kwamba maafisa waliopaswa kumpa viza walisema yeye sio msanii. Alipoenda akiwa ‘amepiga mlege’ , ametupia hereni na mabling mengine kama kawaida […]


Clouds FM

The People's Station

Current track
TITLE
ARTIST

Background